Mkibosho Mweusi
Member
- Dec 13, 2016
- 24
- 17
Ivi Waziri husika ameshafanya research ya kutosha, na imeandaliwa mitaala inayoendana na Science na teknolojia ya sasa, Je mitaala ni rafiki kwa Shule, Umri, walimu na wanafunzi pia? Wameandaa gharama za kusambaza mitaala na vitabu vya kutosha kwenye mashule nchi nzima, Au ndo Dar wamepata mwez huu Iringa wanapata baada ya miez 6