Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,449
- 3,278
pengine hili Mungu ameliruhusu, wakosee ili ccm iondoke madarakani. chama cha matapeli kinatakiwa kisipate kura kabisa 2025Suala la mkataba wa bandar linakoelekea linaenda kuigawanya nchi vipande viwili na utakuwa mpasuko ambao hauwezekani kutia kiraka.
Serikali iliyoko madarakani wajipange kujinasua kwenye huu mkataba. Kanisa la roma sio la mchezo mchezo wakiwa na mambo yao jua hawafanyi kwa kubahatisha yana mibaraka yote toka kwa papa. Kama ngoma imesomwa makanisa yote ya tanzania mjiulize tu population karibu nusu ya watanzania ni waroma.
Ikumbukwe madhebu yote ya kikristo hawaukubali huu mkataba nna huku ndo samia ana wapigakura wengi sana.
Serikali mtakuww bize kukamata wahaini na kuwafunga ila jueni mnapinduliwa kutokea makanisani tena kwa lugja laini ya kubembeleza.
Mtakuja kuona kwenye sanduku la kira kila kitu kimehamia upande usio wa kwenu.
Nakupa ushauri tu rais wangu mpendwa mama samia. This time wasikilize wananchi wako, achana na chawa wanaokuimbia mapambia asubuhi na mchana kuwa mpo kwenye right track kumbe reli ishaacha treni
Umri haujakusaidia kuona kesho yako.Kitima ndo ajipange kuvuna alichokifanya
Suala la mkataba wa bandar linakoelekea linaenda kuigawanya nchi vipande viwili na utakuwa mpasuko ambao hauwezekani kutia kiraka.
Serikali iliyoko madarakani wajipange kujinasua kwenye huu mkataba. Kanisa la roma sio la mchezo mchezo wakiwa na mambo yao jua hawafanyi kwa kubahatisha yana mibaraka yote toka kwa papa. Kama ngoma imesomwa makanisa yote ya tanzania mjiulize tu population karibu nusu ya watanzania ni waroma.
Ikumbukwe madhebu yote ya kikristo hawaukubali huu mkataba nna huku ndo samia ana wapigakura wengi sana.
Serikali mtakuww bize kukamata wahaini na kuwafunga ila jueni mnapinduliwa kutokea makanisani tena kwa lugja laini ya kubembeleza.
Mtakuja kuona kwenye sanduku la kira kila kitu kimehamia upande usio wa kwenu.
Nakupa ushauri tu rais wangu mpendwa mama samia. This time wasikilize wananchi wako, achana na chawa wanaokuimbia mapambia asubuhi na mchana kuwa mpo kwenye right track kumbe reli ishaacha treni
Mkuu hawana wasiwasi wa kupigiwa kura maaana wanajua wananguvu ile ya wale wapewa amri . Watapita bila upingwa majimbo yote..!! HahahaSuala la mkataba wa bandar linakoelekea linaenda kuigawanya nchi vipande viwili na utakuwa mpasuko ambao hauwezekani kutia kiraka.
Serikali iliyoko madarakani wajipange kujinasua kwenye huu mkataba. Kanisa la roma sio la mchezo mchezo wakiwa na mambo yao jua hawafanyi kwa kubahatisha yana mibaraka yote toka kwa papa. Kama ngoma imesomwa makanisa yote ya tanzania mjiulize tu population karibu nusu ya watanzania ni waroma.
Ikumbukwe madhebu yote ya kikristo hawaukubali huu mkataba nna huku ndo samia ana wapigakura wengi sana.
Serikali mtakuww bize kukamata wahaini na kuwafunga ila jueni mnapinduliwa kutokea makanisani tena kwa lugja laini ya kubembeleza.
Mtakuja kuona kwenye sanduku la kira kila kitu kimehamia upande usio wa kwenu.
Nakupa ushauri tu rais wangu mpendwa mama samia. This time wasikilize wananchi wako, achana na chawa wanaokuimbia mapambia asubuhi na mchana kuwa mpo kwenye right track kumbe reli ishaacha treni
Umri haujakusaidia kuona kesho yako.
Mimi mkristo lakini sikubaliani na mada yako.Suala la mkataba wa bandar linakoelekea linaenda kuigawanya nchi vipande viwili na utakuwa mpasuko ambao hauwezekani kutia kiraka.
Serikali iliyoko madarakani wajipange kujinasua kwenye huu mkataba. Kanisa la roma sio la mchezo mchezo wakiwa na mambo yao jua hawafanyi kwa kubahatisha yana mibaraka yote toka kwa papa. Kama ngoma imesomwa makanisa yote ya tanzania mjiulize tu population karibu nusu ya watanzania ni waroma.
Ikumbukwe madhebu yote ya kikristo hawaukubali huu mkataba nna huku ndo samia ana wapigakura wengi sana.
Serikali mtakuww bize kukamata wahaini na kuwafunga ila jueni mnapinduliwa kutokea makanisani tena kwa lugja laini ya kubembeleza.
Mtakuja kuona kwenye sanduku la kira kila kitu kimehamia upande usio wa kwenu.
Nakupa ushauri tu rais wangu mpendwa mama samia. This time wasikilize wananchi wako, achana na chawa wanaokuimbia mapambia asubuhi na mchana kuwa mpo kwenye right track kumbe reli ishaacha treni
Kitima ndo ajipange kuvuna alichokifanya
Kupata vichekesho kama hivi bonyeza reliKitima ndo ajipange kuvuna alichokifanya
Kwani ,nimaaskofu au kitimaKitima ndo ajipange kuvuna alichokifanya
Alichokifanya? Una akili lakini kabla hujaandika hua unafikiria kwanza? Unaizungumzia TEC au Kitima?Kitima ndo ajipange kuvuna alichokifanya
####🤣Kupata vichekesho kama hivi bonyeza reli
Huyo padri mnampoza bure, na uhakika siku si nyingi wataukataa huu walakaSuala la mkataba wa bandar linakoelekea linaenda kuigawanya nchi vipande viwili na utakuwa mpasuko ambao hauwezekani kutia kiraka.
Serikali iliyoko madarakani wajipange kujinasua kwenye huu mkataba. Kanisa la roma sio la mchezo mchezo wakiwa na mambo yao jua hawafanyi kwa kubahatisha yana mibaraka yote toka kwa papa. Kama ngoma imesomwa makanisa yote ya tanzania mjiulize tu population karibu nusu ya watanzania ni waroma.
Ikumbukwe madhebu yote ya kikristo hawaukubali huu mkataba nna huku ndo samia ana wapigakura wengi sana.
Serikali mtakuww bize kukamata wahaini na kuwafunga ila jueni mnapinduliwa kutokea makanisani tena kwa lugja laini ya kubembeleza.
Mtakuja kuona kwenye sanduku la kira kila kitu kimehamia upande usio wa kwenu.
Nakupa ushauri tu rais wangu mpendwa mama samia. This time wasikilize wananchi wako, achana na chawa wanaokuimbia mapambia asubuhi na mchana kuwa mpo kwenye right track kumbe reli ishaacha treni
Imesaidia sana kuwatoa akina Slaa, bila hii mngekuwa bado mnawashikilia mnaowaita wahaini. Nakazia imesaidia kututetea tulio chiniKitima ndo ajipange kuvuna alichokifanya
kwahiyo wabunge wasijefikiri wakitutelekeza wananchi tutakosa wa kutusemea, Mungu ana watu wengi. wabunge wameenda kusemea matumbo yao bungeni, hawa jamaa wametusemea kile kilichopo mioyoni mwa wananchi. hawa ndio wabunge wetu sasa.Imesaidia sana kuwatoa akina Slaa, bila hii mngekuwa bado mnawashikilia mnaowaita wahaini. Nakazia imesaidia kututetea tulio chini