Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
Kwani eti Mengi ni nani.
It does not matter Mengi ni nani? Kila raia wa Tanzania ana haki ya kulindwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Where are we going. This government ya rais kilaza na mwizi ndiyo imetufikisha hapa.