Suala la Boom: Hawa SUA wanataka tuishi kama watumwa

Oct 22, 2016
47
29
Wengine hapa walishaanza kuulizia boom la pili lakini kuna watu mpaka leo majina ya kusaini hskuna hasa 1st year Tutakufa na njaa aseeeh mtu unakosa hata 10 mfukoni afu unajiita upo sokoine univerdity....duhh too much sasa
 
Isije kua unalialia kumbe uliichagua ccm. Kama ni mwanachama wa mojawapo wa vyama vya upinzani nitumie kadi yako PM nikutumie hela ya kula wiki hii. Otherwise ask your ccm leaders to jump to nearest hell.
Haahaaahaa
 
Wengine hapa walishaanza kuulizia boom la pili lakini kuna watu mpaka leo majina ya kusaini hskuna hasa 1st year Tutakufa na njaa aseeeh mtu unakosa hata 10 mfukoni afu unajiita upo sokoine univerdity....duhh too much sasa
Kwanza ujiandae kuondoka Kama uliingia chuoni kwa njia ya complete metarmophosis si umemsikia Professor Joyce??
 
ivi hicho chuo hakina uongozi au nini maana ni sua tu vyuo vingene tayari walishapata kitambo au ni uongozi haupo makini kufatilia duh poleni sana vijana wetu
 
gomeni mdai haki yenu maana imeshakuwa too much vyuo vingine walishapata kitambo na pia ninyi mlifungua mapema mtakufa njaa tatizo siyo loan board bali ni chuo chenu ndiyo jipu wanatakiwa watumbuliwe na nyinyi ni wapole mno kama mapadri mtakufa na njaa gomeni mdai haki yenu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom