Suala la Baraza la Vijana la Taifa linakwama wapi?

Suala la Baraza la Vijana la Taifa linakwama wapi?

Kwahiyo ili tuendelee tuendelee na viswahili vya hovyo! Soma Post nyingi humu JF lugha ni hiyohiyo ya "hawamu" ya 6. Huu uswahili wa kusema "kwani haujaelewa" mimi binafsi siupendi.
Umesema ukweli🤝, japo kiswahili kigumu ila binafsi nimelipokea tena very positive ✍️. Tukirudi kwenye mada, bado sijaona kama vijana kukikosea kiswahili kuna weza kuwa sababu ya msingi kukebehi kuanzishwa kwa baraza la Taifa la Vijana Tanzania bara.​
 
Mnataka kujenga mnara wa Babeli! Lugha sahihi ni muhimu na Tanzania tunaongoza kwa kiswahili cha hovyo kisichoeleweka. Mtakuja kupitisha ajenda kumbe badala ya kuikataa hoja inasomeka mmeikubali, ikipitishwa mnaanza kulalamika.
 
Back
Top Bottom