Huwezi ukakuta x mass day bank zimefungua offisiNimetafakari sana swala la Benki kama CRDB kufungua ofisi leo siku ya Eid. Hii ina maana gani kwa;
1.Wafanyakazi waislamu wanaoenda ofisini leo.
2.Wateja waislamu wanaoona benki inafanya kazi leo bila kujali umuhimu wa siku hii muhimu.
3.Familia za kiislamu zenye watoto wanaofanya kazi benki hizo ambao pia wanapata huduma kwenye benki hiyo.
Wadau sijui mnalionaje hili...
Nimetafakari sana swala la Benki kama CRDB kufungua ofisi leo siku ya Eid. Hii ina maana gani kwa;
1.Wafanyakazi waislamu wanaoenda ofisini leo.
2.Wateja waislamu wanaoona benki inafanya kazi leo bila kujali umuhimu wa siku hii muhimu.
3.Familia za kiislamu zenye watoto wanaofanya kazi benki hizo ambao pia wanapata huduma kwenye benki hiyo.
Wadau sijui mnalionaje hili...
Hapo ndipo nimeshangaa zaidi...Abdul ameruhusu vipi?...au kuna top office analazimisha..Ela huwa tunatumia ATM boss.Leo hela zinahitajika sana mkuu.so wamefungua ili kuwasaidia waislam washerehekee sikuu vizuri.
KUMBUKA :Ceo wa CRDB anaitwa Abdul Majid
Wewe ni mchochezi wa kidini. Kwa akili yako unataka uanze kufananisha Pasaka, Christmas na Eid yenu.Nimetafakari sana swala la Benki kama CRDB kufungua ofisi leo siku ya Eid. Hii ina maana gani kwa;
1.Wafanyakazi waislamu wanaoenda ofisini leo.
2.Wateja waislamu wanaoona benki inafanya kazi leo bila kujali umuhimu wa siku hii muhimu.
3.Familia za kiislamu zenye watoto wanaofanya kazi benki hizo ambao pia wanapata huduma kwenye benki hiyo.
Wadau sijui mnalionaje hili...
Huwezi kumjibu mleta uzi bila kukashifu dini nyingine?...kwa hichi ulichoandika wewe ndiye mchochezi kabisa..Wewe ni mchochezi wa kidini. Kwa akili yako unataka uanze kufananisha Pasaka, Christmas na Eid yenu.
Yaan hapo ni sawa na kufananisha NAMUNGO FC na BARCELONA.
Kubali tu Uislamu ni ka-dini kadogo Tanzania. Ila ukienda Moroco au Tunisia ni kawaida kukuta ofisi zipo wazi Jumapili na Pasaka kwa kuwa Uislamu kule ni dini kubwaaa!
Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Hapo ndipo nimeshangaa zaidi...Abdul ameruhusu vipi?...au kuna top office analazimisha..Ela huwa tunatumia ATM boss.
Nahitaji million 10 kwenye ATM natoaje..!?
Siyo kweli mkuu. Kama haufahamu acha upotoshaji. Baadhi ya bank hasa CRDB na NMB wanafungua baadhi ya matawi yao hata iwe wakati sikukuu kama Christmass au Muungano ama Eid.Huwezi ukakuta x mass day bank zimefungua offisi
Mkuu AuthorHuwa unafanyaje kwa siku za jumapili boss?
Acha udini wewe....kwa wenzetu benki ni 24hrs na 24/7...nenda Dubai ukajionee kama hawajafungua leo benki.....kila kitu uislamu uislamu...mbona ..mbona acheni mambo yakizamani elimikeni...Kwa taarifa yako hata CEO wa hiyo benki ni muislamu.Nimetafakari sana swala la Benki kama CRDB kufungua ofisi leo siku ya Eid. Hii ina maana gani kwa;
1.Wafanyakazi waislamu wanaoenda ofisini leo.
2.Wateja waislamu wanaoona benki inafanya kazi leo bila kujali umuhimu wa siku hii muhimu.
3.Familia za kiislamu zenye watoto wanaofanya kazi benki hizo ambao pia wanapata huduma kwenye benki hiyo.
Wadau sijui mnalionaje hili...
Hapo juu kuna sehemu nimemjibu leo hata TRA Kariakoo wamefungua na wapo mpaka saa kumi jioni,na wanaofanya kazi siku kama ya leo wanapata bonus hata kama mtu akiwa muislam kama ana njaa zake na anaona kuna hela nzuri inaingia kwani akiingia nusu siku akatoka saa 7 akaenda kusherehekea na familia yake kuna ubaya gani?CRDB siku hizi kuna matawi maalumu hutoa huduma mpaka siku za sikukuu na siku za kitaifa.
Wewe si mfuatiliaji mzuri ndio maana unashaanga hili la leo.
Sikukuu zote hufanya hivi, nenda page ya crdb Facebook kasome post zao za nyuma uone