SUALA KWA WANA-CCM WA JF KUHUSU ZANZIBAR!

Ngida1

JF-Expert Member
Aug 25, 2009
586
206
Tukimsimamisha Ndugu Juma Duni katika uchaguzi wa urais wa Zanzibar katika mwaka 2020 na tukaja kushinda, je, mtatuachia serikali? Maanake inaonesha kuwa tatizo lenu kubwa ni mtu na sio sera ya UTAJIRISHO ya Chama cha CUF!
 

Attachments

  • buraza.jpg
    buraza.jpg
    8.9 KB · Views: 28
Back
Top Bottom