Hii serikal yetu kwel poor,tabia ztazuka na matukio mabaya vyuon..,ie.wizi,kujiuza wadada zetu na zngnezo.Bora wangetoa taarfa mapema boom la mwsho ltachelewa watu watafute altenatv mapema.MWUCE uku vjana wamebanwa na assgments na test kbao.kupga pasi ndefu tushazoea ila cyo maisha ndgzangn inabd HESLB ichukue atua mapenda.