Mbonea mweta
Senior Member
- Sep 4, 2018
- 140
- 40
- Thread starter
-
- #21
Shida uko wapi hapo ambacho hujaelewa wewe mtumwaKama na wewe ni mwanafunzi wa SUA na una andika hivi basi tutegemee wasomi mabomu Tz.
Naona unataka kubebwa mkuu...Mkuu karibu sana SUA,upo Main au Mazimbu
sante mkuuThe problem hauko updated fika registration office then watakusaidia unachotaka wao sio network
Pamojasante mkuu
Naona unataka kubebwa mkuu...
Kama na wewe ni mwanafunzi wa SUA na una andika hivi basi tutegemee wasomi mabomu Tz.
Au ndo nyie boys mliochukua Tabia za MAMA zenu angalia dogo .Shida uko wapi hapo ambacho hujaelewa wewe mtumwa
Na madaktari WA mifugo wataalamu WA biotechnology maliasili nk this is special bwanaNyie wakulima wa mbogamboga na matunda mna-mbwembwe balaa
Umenivunjia heshima mkuu mm ni wa UDSM. Tena cyo wa miaka hii ni miaka mingi iliyopita.We nahisi wa UDOM
Nyie ndo wasomi wetu wa kesho........! HongerenWe WA lini MKUU??au ndo nyie vilaza
Sasa daktari wa mifugo ni kitu gani hapa Tz?Na madaktari WA mifugo wataalamu WA biotechnology maliasili nk this is special bwana
Uwezo wako WA kufikiri ndo ulipofika mwisho poor youSasa daktari wa mifugo ni kitu gani hapa Tz?
Usitoke povu msomi wa chuo kikuu, twende na facts. How are these professionals potential in Tz market?Uwezo wako WA kufikiri ndo ulipofika mwisho poor you
Haya umeshinda mwanahojaUsitoke povu msomi wa chuo kikuu, twende na facts. How are these professionals potential in Tz market?
Usikasirike tuelimishane tu
wameifunga ili waweze kufanyia
Wamepewa tu malazi ya mda ili waweze Fanya registration.Mbona kuna dogo analia hajapata room had sasa na suasis hii wiki inaisha haifunguki, Ubora gani unaosema wewe?