SUA selection

SUA selection

Ndio yapo ilaaa kuna dogo ameomba ana div 11 ya 11 ameachwa first selection tunasubr labda shv wanachukua one za 3 tuu
 
Huko sua kuna shida gani?mdogo wangu kaomba na ana two ya 10 ila hajapata. Kaomba BLS, VET na food
 
Sua kuna compitition sana huwa wanachukuaga kwanza div one na two, badae ndo three
 
Back
Top Bottom