GONZZ EPACLEM
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 312
- 240
Habari wana JF leo trh 03/10/2018 second batch SUAwamerelease lakini sijaelewa vema kuhusu udahili wao awamu ya 2 na ya 3, nikiingia kwenye account no updates yoyote bali account ipo vilevile kama nilivo submit during application ,
Sasa hii inamaanisha nn?
1. ni kwamba 3round procesess wataendlea kuni consider ijapo sikuweza ku RE-APPLY?
2.Au ndo basi tena ijapo hata majina waliotoa nimachache tu about 399,na ni baadhi ya kozi about 25?
Mwenye info tujuzane,
THANKS