GONZZ EPACLEM
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 312
- 240
Hata mm Hamna update yoyote Afu Niliapply 3roundSUA siwaelewi kwa kweli mimi, wanatoa tangazo la 3rd round wakati tupo mbele zaidi 4th round?
hata hivyo sielewi mfumo wao upoje, NO ANY SELECTION UPDATES KWENYE ACCOUNTS, AU MIMI TU?
MWENYE INFO ZAIDI MSAADA KWALA SUA, kwani sielewi kabisa utaratibu wao
Majina sijawahi Yaona wala kwenye website yao Hamna3rd round ilishatoka kama haumo basi subiri 4round
Hamna Hata ujumbe wa kukosa Yan ni vile vile not even updatedUjue hujacolifayi sua sio chuo cha mtelemko
Third round ndo wametangaza Jana halafu wewe Unasema majina y'a 3 round yametoka nakuwa sikuelewiNimekwambia kama hujachaguliwa huwezi kuona
gani cha mtelemko mkuu? tuambie basi tubadilishe upepo mapemaUjue hujacolifayi sua sio chuo cha mtelemko
daah hatar sana hii ndo tzSUA siwaelewi kwa kweli mimi, wanatoa tangazo la 3rd round wakati tupo mbele zaidi 4th round?
hata hivyo sielewi mfumo wao upoje, NO ANY SELECTION UPDATES KWENYE ACCOUNTS, AU MIMI TU?
MWENYE INFO ZAIDI MSAADA KWALA SUA, kwani sielewi kabisa utaratibu wao
we umekula ndizi za wapi???SUA mbinguni kwani??Ujue hujacolifayi sua sio chuo cha mtelemko