Kiukweli SUA sio Masihara inatesa sana,but ukimaliza unaenjoy sana kwani unakuwa deep kuliko vyuo vyote TZ.Ushaidi hata hapo ofisini kwako linganisha uchapaji kazi na ufanisi wa wanafunzi wa field practical kutoka Sua na vyuo vingine,hapo ndipo utapata ukweli kwamba Sua ni shule Zaidi.