Ni kweli abiria wanahitaji hizo huduma off main road. Hawa wamekula Ruaha. Kwanini garage ya Aboud. Naomba utaje makampuni mengine yanayotokomeza abiria off main road.Umepewa taarifa fyongo. Kampuni nyingi zina stand/vituo vyao hasa hasa kampuni kubwa kama Aboud. Kupita stand zao huwa ni jambo la kawaida sana na wala huwa gari haziendi for garaging issues bali kwa huduma kadha wa kadha hasa za kijamii kama chakula na kuchimba dawa.
Hizi ndio style za kizamani bahati mbaya zimeachwa ziwepo.Ata Hood ndiyo staili hiyo gari zote zikitoka kama Mbeya,or Ifakara,au sehemu nyingine lazima ziingie Garage first.
Nadhan wewe ndo hujaelewa. Abood wanatabia ya kupeleka kwa depot/ garage yao tofauti na stand yao/ kituo chao kilichopo nje ya stand ya msamvu na mara nyingi huwa wanawabadirishia basi haswa kwa mabasi ya ruti ndefu. Nimeshaona mara mbili hio kitu.Umepewa taarifa fyongo. Kampuni nyingi zina stand/vituo vyao hasa hasa kampuni kubwa kama Aboud. Kupita stand zao huwa ni jambo la kawaida sana na wala huwa gari haziendi for garaging issues bali kwa huduma kadha wa kadha hasa za kijamii kama chakula na kuchimba dawa.
mara nyingi ni hivyo kwa route ndefu wanabadilishaga gariNadhan wewe ndo hujaelewa. Abood wanatabia ya kupeleka kwa depot/ garage yao tofauti na stand yao/ kituo chao kilichopo nje ya stand ya msamvu na mara nyingi huwa wanawabadirishia basi haswa kwa mabasi ya ruti ndefu. Nimeshaona mara mbili hio kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepewa taarifa fyongo. Kampuni nyingi zina stand/vituo vyao hasa hasa kampuni kubwa kama Aboud. Kupita stand zao huwa ni jambo la kawaida sana na wala huwa gari haziendi for garaging issues bali kwa huduma kadha wa kadha hasa za kijamii kama chakula na kuchimba dawa.
Ni kweli abiria wanahitaji hizo huduma off main road. Hawa wamekula Ruaha. Kwanini garage ya Aboud. Naomba utaje makampuni mengine yanayotokomeza abiria off main road.
Kwanini garage ya Aboud. Naomba utaje makampuni mengine yanayotokomeza abiria off main road.
Wa tz tu wavivu wa kufikir sana gar nying ni mbovu spana mkononi ukiona gar inapelekwa garage usilaumu mshukuru mungu.Nimepanda sana Darlux za Dar - Mwanza/Kahama, sijawahi kupelekwa Gereji. Gari pekee nililowahinkupelekwa gereji ni Mohameid Trans (hawa ilikua kawaida kwao kupita gereji pale Shinyanga kwa ruti karibia zote).
Sent from my iPhone using JamiiForums