Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,677
- 6,476
πππLini ulitembelea kituo cha watoto yatima na kuwapa sadaka [emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
umesahau sadaka yangu kweli??Lini ulitembelea kituo cha watoto yatima na kuwapa sadaka [emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
sema wanapita kwa mbali ila wameelewa eti!!
Wewe nikijana tena damu ya moto Toka kudanganya hapa alaaaaaaahsalaam,
leo nimeona niwasaidie vijana hasa wenye ndoa sio wahuni.
pamekua na changamoto za kumfikisha mwananmke kileleni hasa kwa wanandoa na kusababisha wanawake wengi (waliokosa maadili) kutoka nje ya ndoa. hivo basi kutokana na uzoefu wangu na umri wangu huu wa uzee wa makamo nimeona niwasaidie vijana wangu ili huu mkwamo wa mabinti kuolewa na wazee uwaepuke.
vijana wengi wamegeuza tendo la ndoa kua ni vita yaani yale ya kwenye mikanda ya ngono ndio wanadhani ni mapenzi kumbe ni sanaa tuu ya kufurahisha macho.
vijana style zenu za mbuzi kagoma sijui chuma mboga, mbinuko chotea kwa chini, miguu begani, akukalie kwa juu n.k hizi zoote nikujifurahisha nafsi tuu (mume) ila kwa mwanamke ni ngumu saana kufika kileleni akiwa katika mitindo hiyo zaidi ya kupata maumivu tuu (wachache wana enjoy)
kilele chenye ubaridi na msisimko wa kimataifa na kusimika mwenge wa uhuru kilimanjaro ni style moja tuuu style inayounganisha viungo pea kwa pae yaani kifua kwa kifua tumbo kwa tumbo, uso kwa uso mikono kiunoni mikono begani mpapaso musharabu ukipeleka speed na kupunguza kuitoa na kuiweka taratibu kama unaingiza uzi kwenye tundu la sindano hakika wajukuu zangu wanawake hawato waacha na wazee hatutowazidi kite tena. (kifo cha mende)
zingatia: pesa ndio kilele cha mwanamke kwa mwanaume, ukiwanazo atafika tuu.
msinitafute PM.
waambie mnavyotaka ni haki yenu.... mi nimeyajua hayo kwakuwasikiliza nini mnataka na ndio maana kama kungekua na tuzo ya mwanaume shababi wa mapenzi basi ningeipata...ππUtakuta mtu anakubinua binua kama nini jamani, na hujakosea kuangalia yale mavideo yao na kuiga iga style za ajab ajabu watu wanaona dili, mko kitandani utadhani mnapigana jamani
mjukuu wangu mimi ni mzee sema wa makamo kidogo amini.Wewe nikijana tena damu ya moto Toka kudanganya hapa alaaaaaaah
~.A Philanthropist|Economist|Business Consultant|Entrepreneur|Agricultural Applied &Natural Resources Economics Mentor.~
funguka dada usikubali kuteseka mjukuu wangu
Kafanye homework. Kesho nakusanya madaftari kusahihishaπππππ
salaam,
leo nimeona niwasaidie vijana hasa wenye ndoa sio wahuni.
pamekua na changamoto za kumfikisha mwananmke kileleni hasa kwa wanandoa na kusababisha wanawake wengi (waliokosa maadili) kutoka nje ya ndoa. hivo basi kutokana na uzoefu wangu na umri wangu huu wa uzee wa makamo nimeona niwasaidie vijana wangu ili huu mkwamo wa mabinti kuolewa na wazee uwaepuke.
vijana wengi wamegeuza tendo la ndoa kua ni vita yaani yale ya kwenye mikanda ya ngono ndio wanadhani ni mapenzi kumbe ni sanaa tuu ya kufurahisha macho.
vijana style zenu za mbuzi kagoma sijui chuma mboga, mbinuko chotea kwa chini, miguu begani, akukalie kwa juu n.k hizi zoote nikujifurahisha nafsi tuu (mume) ila kwa mwanamke ni ngumu saana kufika kileleni akiwa katika mitindo hiyo zaidi ya kupata maumivu tuu (wachache wana enjoy)
kilele chenye ubaridi na msisimko wa kimataifa na kusimika mwenge wa uhuru kilimanjaro ni style moja tuuu style inayounganisha viungo pea kwa pae yaani kifua kwa kifua tumbo kwa tumbo, uso kwa uso mikono kiunoni mikono begani mpapaso musharabu ukipeleka speed na kupunguza kuitoa na kuiweka taratibu kama unaingiza uzi kwenye tundu la sindano hakika wajukuu zangu wanawake hawato waacha na wazee hatutowazidi kite tena. (kifo cha mende)
zingatia: pesa ndio kilele cha mwanamke kwa mwanaume, ukiwanazo atafika tuu.
msinitafute PM.
We ipi inakukuna...?Tupo tofauti