STUNTER: Breezy Swagger Boy Wa Facebook

Hahaha
 
We acha tu mtu wangu. Ka ni wewe unafanyaje!. Basi mnyamwezi haikuwa shida hata kidogo. Kipindi hicho nilikuwa narejea zangu chuo pale kati MUST. Sa si unajuwa wanafunzi mnasafiri tagi hiloo. Kuna wana wawili watatu walikuwa mambo chedi nini. Wakawa wamejitungua 2nd class. Sasa demu aliposema twende room kwako haikuwa kesi. Mkali nakamata ngozi mkono, mdomdo nadrible safari kwenye room ya wana. Nafika room ya wana nakuta wamechill nini......kuniona tu na kinyuli changu basi full shangwe....mi si ndo mkare waooo, janja zaidi ya dogoo!!. Basi mtu mzima full kumtambulisha mbebez nini. Halafu mbebe ilikuwa ananyooka Zambia. Basi wana full kuni-admire nini......mimi bichwa hilooo.
Basi mi nikakaa hapa...mtoto nae pembeni yangu, zero distance flani. Wana wamekaa opposite, si unajua 2nd class room za gogo la Tazara chai maarage flani. Basi shangwe zinaanza story. Ile zinaana story tu.....TT huyo, na daftari lake kama mwalimu wa zamu anaita rokoo. Sijui yule TT alikuwa ana-zoom michongo yangu kitambo!!........au Mungu tu aliamuwa kunionyesha ubabe!!!!. Unajua yule TT alisemaje.....''ambae hana ticket ya chumba hichi atoke". Haki ya Mungu...Dah! Yule TT sijamsamehe mpaka leo.
 
Hapo lazma uwe mdogo mkuu
 
Ukiwa unadanganya, kaa ukijua kuwa unajidanganya mwenyewe. Na siku zote njia ya mwongo ni fupi mno. UWONGO UNAPOTEZA Uhuru wako MWENYEWE
Hata hizi uzi zake ni za uongo na kufungua..rejea Ile aliyomfuata mwanamke aliyekuwa anachat nae Facebook akiwa Mbeya. Alimfuata Dar na kukuta ni changudoa.
 
Si ungemwambia huyo rafiki yako aende mkuuu???[emoji22] [emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…