Point takenWakuu Mambo vip!ebanaa Leo nimeona tustuanee na kuchukua tahadhari ya baadhi ya sehemu tunazo kulaa hasa mama Lise huko kwenye miangaiko yetu. Ni hivi unaweza kwenda kwa mamalishe ukaagiza chai yamaziwaa....sanukaa siku hizi wanachanganya na maji ya mchele,maziwaa kidogo plus maji ya mchele tiyari chai ya maziwa mzee. Usanuke mafuta yakula ya mekuwa ghali,kupunguza ukali wa maisha Kuna mafuta ya nguruwee ndo mbadala kwa Sasa kwa wauza chips wengi mjini. Sanuka,zile kachumbari unazokulaa ukazani wanatengeneza na nyanyaa nzuri mzee umefelii zilee nimasharooo wanaenda sokoni kununua manyanya mabovu.....tuwe waangalifu tunapo enda kulaa huko mtaani.na wewe jazia zako
Hahahaha..!Uongo mtupu ni ugali tu ndo wanapikia maji ya kuoshea vyombo, akiwa anapakua chakula kama sahani ina maji maji anafutia khanga yake ambayo ndo hiyo hiyo anafutia jasho, na Mara nyingi jasho huo inadondoka kwenye mchuzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uongo mtupu ni ugali tu ndo wanapikia maji ya kuoshea vyombo, akiwa anapakua chakula kama sahani ina maji maji anafutia khanga yake ambayo ndo hiyo hiyo anafutia jasho, na Mara nyingi jasho huo inadondoka kwenye mchuzi.
Uchafu wa Mswahili ndio afya yake... Kama chakula kichafu ingekuwa ndio njia ya kifo.Uongo mtupu ni ugali tu ndo wanapikia maji ya kuoshea vyombo, akiwa anapakua chakula kama sahani ina maji maji anafutia khanga yake ambayo ndo hiyo hiyo anafutia jasho, na Mara nyingi jasho huo inadondoka kwenye mchuzi.
Mbona harufu ya maji ya mchele ni rahisi sana ksikia harufu yake, halikadhalika mafuta ya nguruwe pia yana harufu wewe hiyo umepigwa na ukanywaWakuu Mambo vip!ebanaa Leo nimeona tustuanee na kuchukua tahadhari ya baadhi ya sehemu tunazo kulaa hasa mama Lise huko kwenye miangaiko yetu. Ni hivi unaweza kwenda kwa mamalishe ukaagiza chai yamaziwaa....sanukaa siku hizi wanachanganya na maji ya mchele,maziwaa kidogo plus maji ya mchele tiyari chai ya maziwa mzee. Usanuke mafuta yakula ya mekuwa ghali,kupunguza ukali wa maisha Kuna mafuta ya nguruwee ndo mbadala kwa Sasa kwa wauza chips wengi mjini. Sanuka,zile kachumbari unazokulaa ukazani wanatengeneza na nyanyaa nzuri mzee umefelii zilee nimasharooo wanaenda sokoni kununua manyanya mabovu.....tuwe waangalifu tunapo enda kulaa huko mtaani.na wewe jazia zako
Mkuu maji ya mchele ngoma inawekwa viungo na unavyo sema mafuta ya kitimoto Yana harufu na nirahisi kuditect nikwamba unataka kubisha basi fanya tafiti kwenye vibanda vingi vya chips pia tafuta sehemu wanapo yauza Sana Sanaa wanapo chinjia nguruwee utakuja na jibuMbona harufu ya maji ya mchele ni rahisi sana ksikia harufu yake, halikadhalika mafuta ya nguruwe pia yana harufu wewe hiyo umepigwa na ukanywa
Sent using Jamii Forums mobile app