ni sahihi kabisa kuwa CCM has the best MANIFESTO. Lakini unajua kuwa watu hatupimwi kwa yale tuyasemayo bali kwa yale tuyatendayo? FILIKUNJOMBE, anapendwa ni kwa sababu ya yale aliyoyafanya mjengoni na sio ilani yake ya uchaguzi. Hivyo LATENT ni zaidi ya MANIFESTO, ndiyo nguvu ya CHADEMA, wanaonekana wakitenda, wakiitesa serikali yako iliyojaa wezi