Study: Weekly sex makes for happy couples

Not easy to be applicable in our african society where we demand sex after geting our meal or diet daily
 
Huu utafiti huenda ukawa sahihi huko Marekani, huku kwetu hiyo mara moja kwa wiki ndio chanzo cha ugomvi kwa walio kwenye mahusiano. Paulo Sergio De Souz fanya tu utafiti wako kwenye majibu ya hii topic utapata majibu!
 
Last edited by a moderator:
Not easy to be applicable in our african society where we demand sex after geting our meal or diet daily

Ni kujiendekeza tu! It is applicable if you accept it. Tena ratiba iyo inawafanya kumisiana na mnapokutana basi siku hiyo kazi inafanyika kisawasawa sio kugusanagusana kila siku!!!
 
Nadhan unaelewa mara nyingi familia za kiafrika mama na baba hulala kitanda kimoja almost the whole year, asa kwa mazingira hayo huwez jizuia upige kimoja tu kwa week
 
Huu utafiti huenda ukawa sahihi huko Marekani, huku kwetu hiyo mara moja kwa wiki ndio chanzo cha ugomvi kwa walio kwenye mahusiano. Paulo Sergio De Souz fanya tu utafiti wako kwenye majibu ya hii topic utapata majibu!

Yes yes. Watanzania tuko dedicated sana kwenye hiyo kitu. Nime-highlight makusudi ile point, na nina uhakika wengi wameishia pale.
 
Kwani hii kitu inapangwa? Sio kiraruraru kikipanda tu mnafanya?
 
kama hayuko period unapigaa mzigoo daily ....binafsi naipendaa saana hii kituu wiki nzimaa siichokii kabisaaa....Teena ndo yenyewe..
 
Back
Top Bottom