Student's unlimited freedom

Hata serikali ina magereza kwa ajiri ya watu korofi,sasa mimi nasema wanafunzi wakorofi wapigwe sana zaidi ya pale...hata mh Jakaya Aliwahi kusema mwanafunzi kupata mimba ni kiherehere chake.
 
Hata serikali ina magereza kwa ajiri ya watu korofi,sasa mimi nasema wanafunzi wakorofi wapigwe sana zaidi ya pale...hata mh Jakaya Aliwahi kusema mwanafunzi kupata mimba ni kiherehere chake.
Hata nyumbani tunawachapa sana watoto wetu.
 
Walimu msipanic kwani baba mwenye nyumba hataki ujinga ujinga lazima aje na kauli ambayo walimu mtafurahia tu

Na nukuuu jamani watanzania wazazi mtoto bila fimbo haendi yani usome bure alafu alafu mwalimu akupe azabu unaleta ubabe kisa serikali itakutetea, nasema hapa Waziri unanisikia kuanzia sasa adhabu ya viboko shuleni irudi ili watoto wawe na adabu tunataka inchi yenye nidhamu wewe mzazi kama unaona mwanao Keki utaki achapwe kaaa naye nyumbani

Mzee akamaliza walimu wanapiga makofi
 
STUDENTS UNLIMITED FREEDOM(SUF)
Kweli itasaidia sana,walimu hii inafaa sana.
 
Tangu siasa ilipoingia katika elimu kuna matokeo mabaya sana yanatokea katika elimu chanzo ni wanasiasa
 
Aman itawale!!! Kulea ni mzigo, hata ukiamua kususa kuna mambo mengine hutayavumilia. Kuitwa mlezi sio jina tu.
 


unafikiri umeandika cha maana??

umeandika pumba tupu soma tena ulichoandika utajionea aibu.

unajua maana ya neno mtaala??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…