Student's unlimited freedom

Sikusoma vizuri mkuu,samahani kwa kukuita mwalimu. Ok ,mwalimu ana deal na watoto wengi na wazazi ndio sisi tumetofautiana mitazamo kuhusu walimu. Ili mwalimu ajiepushe na lawama hizi unashauli afanye nini?
 
Hayatokei kwasababu hujaona video au?
 
unaijua sheria ilivyo anayepaswa kumchapa mwanafunzi ni mwalimu mkuu peke yake nasio mwalimu wa kawaida viboko visivyozidi vinne au ulifahamu ilo
Sheria haina jina?
 
Mkishavurunda mnapata nini? Daktari atakayetibu watoto wako anaanzia wapi? Mwalimu wa watoto na wajukuu zako? Mkandarasi, viongozi, wake na waume wa watoto zako?

Unajitekenya kisha unacheka!
 
Mtasainishwa mikataba ya kufaulisha watoto kabla muhula wowote kuanza,na ole wenu watoto wafeli
Unaota ndoto za mchana
Kufaulisha ni rahisi sana,sema lingine.....
Wakati unanisainisha uhakikishe kuna watoto 40 kwenye chumba.
 
Subiri matokeo baada ya mwaka mmoja utaona
 
Mtasainishwa mikataba ya kufaulisha watoto kabla muhula wowote kuanza,na ole wenu watoto wafeli
Inaonesha jinsi ulivyo mtupu kichwani.D ni pass mark,sasa wakifaulisha hata wooote kwa daraja D kesi si imeisha.Hao watoto watasongaje mbele
 
Sikusoma vizuri mkuu,samahani kwa kukuita mwalimu. Ok ,mwalimu ana deal na watoto wengi na wazazi ndio sisi tumetofautiana mitazamo kuhusu walimu. Ili mwalimu ajiepushe na lawama hizi unashauli afanye nini?
Nashauri sisi wazazi tuwape support walimu, kutokana na hali ya maisha ilivyo ngumu wazazi wengi tunajikuta hatupati muda wa kutosha kuwajua vyema watoto wetu (tabia naenendo yao) hivyo basi Mwl ni mlezi pekee ambae tunapaswa tumuamini na kumuheshimu kupitia walimu na Ma house girl zetu ndipo tutaweza kufanikiwa kurekebisha tabia za watoto wetu, sasa kama tunawakataa walimu kuwa si walez bila shaka tutakua tunapotoka sana,Kubwa zaidi Makosa ya Mwl mmoja yasiwe sababu ya kutukana nakuwapa fedheha walimu, kwa halo ilivyo hapa jukwaan ni dhahiri kuna watu wanatoa maneno ya kuchukiza kwa kila anayejitambulisha kuwa ni Mwl. Hii si sawa hata kidogo
 
Walimu mkifanya hivyo mtakwamisha Tanzania ya viwanda serikali ya awamu ya tano inawahitaji walimu sana
Kabisa, inahitaji iendelee kuwakanyaga kama tambara la deki...
 
Kama wanajipenda naamini hawatafanya mambo yaliyo nje ya mikataba walioingia na waajili wao. Kama Luna kipengele cha kutoa adhabu katika mikataba yao basi watekeleze tofauti na hapo yatakayowapata yanawastahili
Walimu hawatoi àdhabu, jukumu hilo ni la mkuu wa shule. Hivo watamuachia yeye
 
Ufumbuzi utapatikana kwa kufukuzwa, madaktari, polisi na kada nyingine wakikosea mnakaa kimya ila walimu wao ni malaika
 
Mihemko ni ile iloonyeshwa na . mawaziri na watanzania wengi. Imewakumbusha walimu mipaka yao, ili watembee kwa uangalifu na kuacha kuingilia ambayo walikua wakijiongezea kwa vijimshahara vidogo na matusi mnayowalipa, wazazi mnawadharau, serikali imewatelekeza sasa hata wakipigwa na wanafunzi mnataka wakae kimya. Huenda ikaja siku mkaona umuhimu wao
 
Tayari mtazamo wa jamii unahukumu, na mimi na wewe tunatofautiana japo sio sana. Walimu ulezi wao uwe na mipaka inayo fahamika kisheria,wazazi washilikishwe kwa kila kitu kinachowahusu watoto wao. Mzazi asipotoa ushilikiano maofisa ustawi wa jamii wahusike. Walimu wasijitwishe mzigo wote
 
Kabla sijaanza biashara zangu nilikua mwalimu, na watoto watukutu tuliwashughulikia vizuri, asa mtoto anavuta bhangi umuache tu. Huko shule binafsi nako kuna mateso yake makubwa ila wazazi wanakaa kimya sababu wanakua na uchungu na hela zao, huku elimu bure ndo ambako mwalimu anadharaulika. Elimu bila adhabu wala viboko inawezekana, ila kizazi kitachotengenezwa tutakipenda... "Elimu chungu, si lelemama"
 
Mkishavurunda mnapata nini? Daktari atakayetibu watoto wako anaanzia wapi? Mwalimu wa watoto na wajukuu zako? Mkandarasi, viongozi, wake na waume wa watoto zako?

Unajitekenya kisha unacheka!

Nimeweka kauli jumuishi ndugu na huu ndio ukweli kwa walimu wengi ukibisha hivyo badala ya kutoa ushauri chanya utajiju
 
Kama ulivyosema mimi na wwe hatuwez kufanana hata malez ya watoto wetu pia hayafanani usilazimishe kufanana, awe Mwl awe mzazi awe nani woote kila tufanyalo linatakiwa kufahamika kisheria sio walimu tu
 
Mkishavurunda mnapata nini? Daktari atakayetibu watoto wako anaanzia wapi? Mwalimu wa watoto na wajukuu zako? Mkandarasi, viongozi, wake na waume wa watoto zako?

Unajitekenya kisha unacheka!

Nimeweka kauli jumuishi ndugu na huu ndio ukweli kwa walimu wengi ukibisha hivyo badala ya kutoa ushauri chanya utajiju
 
Nimeweka kauli jumuishi ndugu na huu ndio ukweli kwa walimu wengi ukibisha hivyo badala ya kutoa ushauri chanya utajiju
Usipofundisha inavyopasa hutoendelea kujifunza kwa kiwango sawa na kile cha juu unachopata kitokana na kiwajibika.
 
Hawa walimu wakifanya hivyo kwani wao hawana watoto? Kwa hiyo wako tayari pia mambo kama hayo kufanyiwa watoto wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…