Arkadim
Senior Member
- Feb 8, 2017
- 109
- 94
Habari zenu wana JF, poleni kwa mihangaiko ya izi siku tatu kwanzia jumatano ,alhamis na leo ijumaa.
Mimi nilikuwa naoma mnipe elimu kuhusu ili neno naliona kila kona ,snapchat,facebook, twitter na kwenye status za whatsapp. Unakuta imepostiwa picha ya mtu alafu kuna ayo maneno. Mwanzoni nilikuwa napotezea ila sasa ni kama mwezi naona kila picha inayopostiwa kuna ayo maneno STUCK ON YOUR LOVE.
Naomba kuelimishwa ayo maneno yanamaanisha nn yanapowekwa kwenye picha?![emoji53]