kabla ya kuniingilia sana hebu tuone wangapi bado wanafanya mapenzi wakati wa usiku only,stima sikiwa off na chini ya blanketi kwa sababu hawataki waume zao wawaone uchi? Najui hawakosi so kuni judge harshly kwa sababu nashindwa nitazianzia hizi story wapi is not fair because nyinyi wanaume munafahamu jinsi mnavyo behave when u dont want a certain issue ama topic to be brought up,munanuna au munajifanya wakali more so kama hamujazoeana sana.Kwa email ni rahisi lakini face to face inakuwa hard kwa sababu anaweza kuwa hataki ile story because he may not be able or wnat to do anything about it for the time being.Basi sitaki awe hostile kwangu kwa sababu ya open communication yangu.
Men munapenda kusema kuwe na open communication lakini only when you are told what you want to hear.Mengine yote muta ignore au mujifanye kukasirika.