Bonnie1974
JF-Expert Member
- Mar 19, 2008
- 407
- 17
Hi ! mama hujambo? long time heehDada kwani weye hukuwa na kungwi/somo wakati unaolewa? au hata shangazi? mbona kuna mbinu mbadala zinazokubalika hasa kwa wakati kama huo?
MJ1 ,kama hizo mbinu mbadala zinafundishika public bora zitaje kwa faida ya wengi.Kuna wengine hapa hawajaolewa bado na wanahitaji kuabstain na wengine wameolewa lakn hawakupata bahati ya kuwa na kungwi.
Lakini kama ni mambo ya chumbani sana basi ruhusu watu wakuPM kwa ushauri zaidi.
Thanks.Loud and clear.Mpendwa usijali njia mbadala ninazozizungumzia ni
1. Kwanza kufanya mazoezi ili kuuchosha mwili (kusuppress hisia za kufanya ngono)
2. Kujaribu kucontrol mawazo yake but ikishindikana
3. Kuoga maji moto (unakuwa kama unajikanda taratibu) hawa wakati wa jioni kuoga jioni.
Thanks.Loud and clear.
Ila hao wanaosema masturbation wana lao jambo.what if ukawa addicted /affected psychologically na mastrurbation na mmeo ukaona hafai tena?
Na haya mambo kumbe yanasehemu kubwa ya MAWAZO.unawza kuamua kutawala mawazo yako na hisia pia.
sasa nini cha kuchekesha hapo... ofcourse she should be responsible on her own orgasm... kazi gani sasa hapo.... mbona is very easy...Sasa huo ni ushauri ama? Yaani unamtaka awe responsible na her own orgasm? lol..
Kazi hipo
Mpendwa usijali njia mbadala ninazozizungumzia ni
1. Kwanza kufanya mazoezi ili kuuchosha mwili (kusuppress hisia za kufanya ngono)
2. Kujaribu kucontrol mawazo yake but ikishindikana
3. Kuoga maji moto (unakuwa kama unajikanda taratibu) hawa wakati wa jioni kuoga jioni.
Charity how can masturbation affect you psychologically?... it only make u feel relaxed and the sexually desire decreases to some point but it can never be a substitute to the real thing....she can use her imagination and imagine her husband on her bed or on her... thts how it works...I dont see whats wrong with that... its safer than being unfaithful .Thanks.Loud and clear.
Ila hao wanaosema masturbation wana lao jambo.what if ukawa addicted /affected psychologically na mastrurbation na mmeo ukaona hafai tena?
Na haya mambo kumbe yanasehemu kubwa ya MAWAZO.unawza kuamua kutawala mawazo yako na hisia pia.
Mume wangu amekuwa akifanya kazi USA ,nimekuwa nikiwa na haja sana siku zangu za Ovulation.Sijui nifanye nini ilinisimsaliti because niko hot sana siku hizo nakuwa outgoing sana na nina flirt sana hata bila kujua ninavyo fanya tena ninajisikia sana kuva seductively na kuongea kuhusu ngono.Nikimwona mwanamme mzuri,yaani built,handsome,ana mikono mizuri,well dressed ama anayenukia vizuri hata kama niko kwenye meeting ninapoteza concetration.Ninaanza kufikiria atakuaje kwenye ngono.Naskia aibu sana lakini I need help.
Please nipe mawaidha vile nitaiua libido yangu hadi atakapo rudi mume wangu.
Naogopa maradhi na ninataka kuremain faithful lakini the flesh is weak na hivi karibuni huenda nika anguka.
have u ever thought of the word masturbation?... yes it can be handy🙂
Dada kwani weye hukuwa na kungwi/somo wakati unaolewa? au hata shangazi? mbona kuna mbinu mbadala zinazokubalika hasa kwa wakati kama huo?
Nitashangaa mpaka sasa kama hujapata PM hata moja
Thanks MJ
Busara zako ni mali sana... hii ya mbadala nilimpa huyu binti na ile tu ya kusali na kukaa karibu na ndugu zaidi ili kuondoa mawazo ya vichocheo vya mwili
But i am still very unclear kwanini hajashare na mwenza kwamba hawezi kukaa mwenyewe bila abdala kichwa wazi?? kwanini wasiende wote?
But i am still very unclear kwanini hajashare na mwenza kwamba hawezi kukaa mwenyewe bila abdala kichwa wazi?? kwanini wasiende wote?
Charity how can masturbation affect you psychologically?... it only make u feel relaxed and the sexually desire decreases to some point but it can never be a substitute to the real thing....she can use her imagination and imagine her husband on her bed or on her... thts how it works...I dont see whats wrong with that... its safer than being unfaithful .
Hii shughuli naona Masaki anaitolea mate nenda tu Hapo alipo sijui Nairobi.
Wahenga walisema, nyani haoni makalio yake.............!!!
sasa nini cha kuchekesha hapo... ofcourse she should be responsible on her own orgasm... kazi gani sasa hapo.... mbona is very easy...