Structure ya uchumi wa Tanzania

Structure ya uchumi wa Tanzania

Dennis Robert Shughuru

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2024
Posts
4,179
Reaction score
6,210
Structure ya uchumi ambao tunao sasa architect ni Rais benjamini William mkapa ni wazi mwaka huu mwaka 2025 tunatimiza miaka 30 tokea hii structure iweze kuwekwa kwenye utekelezaji., Tunafahamu kuwa haya mbadiliko yalianza mwaka 1995

Structure ya uchumi wa Tanzania una-mambo yafuatayo;-
  • Uchumi hauko connected na watu walio wengi bali na watu wachache sana
  • Watu wanategemea informal sector kama kujikwamua mfano bodaboda, mama ntilie, uwinga, n.k vibarua ambavyo wanalipwa starvation wages
  • Hauzalishi ajira ambazo ni rasmi, moja ya weakness ya structure ni kutokuweza kuzalisha ajira rasmi nikimaanisha full time job na part time job.
  • Fedha nyingi zinazotumika kwenye miradi zinalipwa makampuni ya nje kwa hiyo hakuna Multiplier effects kubwa ndani ya nchi,. Mfano miradi mingi ya ujenzi ambayo fedha nyingi inatumika wanafanya makampuni ya nje ya nchi
  • Yes uchumi unakua kwenye makaratasi ila hauna uhalisia kwenye maisha ya walio wengi sababu walioshika uchumi ni foreigner na wahindi/warabu ambao ni kwa asilimia kubwa ni passenger, na sasa hivi wamekuja wachina na wao pia ni passenger na WAMEIFANYA TANZANIA KAMA SEHEMU YA KUVUNIA MALI/UTAJIRI KAMA ILIVYO MAJIMBO YA KUSINI MWA MAREKANI KABLA YA CIVIL WAR, na hii pia inaonekana kwenye uchimbaji wa madini kwani makampuni mengi yanachimba madini hapa Tanzania na hayaongezewi thamani hapa Tanzania
  • Watumiaji wa bank ni wachache
  • Watu wanaolipa income tax ni wachache sana sababu wengi wanajihushisha na informal sector
  • Hauzalishi bali unategemea bidhaa kutoka nje matokeo yake vipato vya watu havikui
  • Mipango miji haitiliwi maanani kabisa
 
Structure ya uchumi wa Tanzania ambayo nimeipropose
  • Msisitizo utakuwa kwenye viwanda vya msingi vyenye capacity kubwa sana mfano;-aluminium smelter, steel smelter, copper smelter, petrochemical, natural gas refinery, rear earth refining n.k,.
  • Kodi zitakuwa chini sana ili bidhaa inayozalishwa Tanzania iweze kushindana kwenye soko la dunia
  • Kuwa na uzalishaji mkubwa wa ndani- nikimaanisha serikali itawekeza sana kwenye training, kununua machine, na ubunifu kama njia ya kukuza uzalishaji
  • Madini yote yanachimbwa hapa Tanzania na yataongezewa thamani hapa hapa Tanzania iwe ni gemstone, metal au rear earth
  • Nchi nzima itapimwa ili kuweza kupeleka huduma za kijamii kiurahisi sanaKutaongezwa wigo wa masomo ya kingereza ili mtoto atakayesoma shule y serikali na private watakuwa wanafanya mtihani sawa wa shule ya msingi
  • Miradi yote mikubwa iwe ni kujenga reli, barabara, madaraja, mabwawa yatafanywa na makampuni ya kitania ili kuongeza Multiplier effects kwenye ukuaji wa uchumi
  • Kuwekeza sana kwenye kilimo cha umwagiliaji wa mazao kama ngano, alizeti, mchikichi, mahundi, maharage, mpunga n.k
  • Kuwekeza sana kwenye michezo kama sehemu ya kuitangaza nchi na ikiwemo academy za michezo yote, na kujenga viwanja vya michezo ambavyo ni world-class
 
unfortunately unaongea kama mtu aliemaliza form six EGM au HGE yaan point ni zilezile zaidi ulichoongeza ni Mkapa na structure yake. Talk as implementer enriched with statistical data and evidence and how you are going to achieve what you have articulated. For example if i ask, Do you know the price of surveying just one acre?
 
Nina nyuzi karibia 50 hayo yote unayoyasemea nimeyaongelea huwezi ongelea vitu vyote kwenye uzi mmoja

Changamoto ya huku mnapenda habari za udaku na uchokonozi kama member mmoja anaitwa britanica

Eti statistics data!! kwa hiyo point ni wazi huijui mifumo ya Tanzania yaani ni keyboard warriors hakuna kitu kigumu kama kupata data hapa Tanzania
 
Nina nyuzi karibia 50 hayo yote unayoyasemea nimeyaongelea huwezi ongelea vitu vyote kwenye uzi mmoja

Eti statistics data!! kwa hiyo point ni wazi huijui mifumo ya Tanzania yaani ni keyboard warriors
Jifunze kiingereza kwanza ni statistical data. Naomba nijibu gharama za kusurvey kijiji kimoja. Kwaio uzi wa leo ulikua ni wa kutaja point kama mhitimu wa A-level? Aya nipe link ya uzi ambao unanona umeprovide in detail solutions
 
Eti gharama ya ku-survey ilihali nchi imejaa squatter kila kona hivi unajua unachoongea hizo gharama wewe kujua zinafaida gani ilihali squatter zipo kila kona na zinaendelea jikite kwenye mambo ya msingi
 
Eti gharama ya ku-survey ilihali nchi imejaa squatter kila kona hivi unajua unachoongea hizo gharama wewe kujua zinafaida gani ilihali squatter zipo kila kona na zinaendelea jikite mambo ya msingi
Sasa ni kwamba unaniambia hivyo kwamba sijui kama squatter zipo nying au maana yake nn? Wewe umesema utapima nch nzima sasa utapimaje kitu usichojua gharama zake? Kiufupi we jamaa ni muanisha points ila hujui cha kufanya na hzo points huna tofauti na wanasiasa uchwala.
 
Nchi hii haina kitu kinachoitwa mipango miji kama hizi gharama zingekuwepo kusingekuwa na squatter kila kona

Watu wanajenga wanavyojisikia alafu unakuja na point ya survey, Tanzania ni nchi inayosangaza sana
 
Nchi hii haina kitu kinachoitwa mipango miji kama hizi gharama zingekuwepo kusingekuwa na squatter kila kona
we jamaa ni mjinga sana na bora ukae kimya ufiche ujinga wako. Ngoja nikutoe ujinga sasa, kwa taarifa yako hii nchi asilimia 33 ya vijiji vyake vimepangiwa matumiz bora ya ardhi. Enewei unaweza sema huko ni kijijin, maeneo kibao yamepangiwa matumiz ya ardhi yaan yamepangwa eg maeneo ya mbweni, tegeta baadhi, upanga, etc ni meng sema compliance ndo tatizo kwa baadhi. Squatter ni nyingj lakin sio kweli kusema hakuna sehem zilizopngwa
 
Mimi hata unidhihaki vipi au unitukanaje siwezi kukurudishia kumbuka MIMI NI RAIS MTARAJIWA SIWEZI MTUKANA MWANACHI WANGU

Sehemu nyingi zilizopangwa zimepangwa na wakoloni ni chache sana ambazo zimepangiliwa na wanafuata kweli urban planning

Kupanga miji sio tu nyumba kuwa kwenye mpangilio mfano leo hii masaki pamepangiliwa ila cha ajabu baa zinafunguliwa na night-club katika ya makazi ya watu sio sawa, nenda coco Beach ule ni uchafu uko pale

Dhana ya mipango miji ni pana sana bahati mbaya wewe hata huijui kwa mapana yake unadhani ni nyumba kuwa kwenye mpangilio
 
Yaan ety mimi sielew dhana ya mipango miji. Sasa hizo baa kufunguliwa ni issue ya mipango miji au NEMC? Je, huko masaki kuna baa ambayo ipo katika sehem ambayo haijaidhinishwa matumizi yake kama bar? Swal langu la mwisho, unapangaje kitu usichojua gharama yake? Naomba nijibu maswal yang sio unachagua machache
 
Hao wanaojua gharama mbona wameshindwa kuondoa hizi squatter, kwamba kujua gharama ndo kunaondoa squatter
 
Kwenye masterplanning inaonyesha sehemu za bar na nightclub sio swala la nemc kwenye hii point inaonyesha hujui hata dhana ya mipango miji
 
Daah we jamaa unanifurahisha sana. Nakushauri ukajifunze zaidi juu ya mipango miji na vijijin. Kujua gharama ni step mojawapo kama rais ili kuweka vipaumbele vyako kiufasaha. Mwisho kweny squatter kunafanya formalization, squatter upgrading and regularization na sio kupanga mpya maan utaingia gharama kubwa sana ambayo hutoweza.
 
we huelewi wapi? Nmeuliza kama kweny master plan inaonyesha hii ni sehem ya bar na ikapiga makelele usiku(case ya night club za masaki), je hilo swala linakua la mipango miji au NEMC
 
Gharama sio hatua ya kwanza bali ya mwisho
Mipango miji unafuata hatua zifuatazo
  • Unapima nchi nzima
  • Unatunga sheria ili mipango miji ifuatwe kwa lazima yaani anayejenga hata room moja lazima afuate mipango miji ni lazima na sio hiari
Squatter hizi zinaondoka vizuri Beijing ya 1930's au Singapore ya 1960's ilikuwa ni squatter tupu ila leo hazipo sababu kubwa ni kuwa na ukuaji wa uchumi ambo ni inclusive, na mkubwa na ambao ulikuwa consistence

Sababu ya kutokuondoka hizi squatter ni kwa sababu ya ukuaji wa uchumi mdogo ambao hauko connected na watu
 
Mimi hata unidhihaki vipi au unitukanaje siwezi kukurudishia kumbuka MIMI NI RAIS MTARAJIWA SIWEZI MTUKANA MWANACHI WANGU

Sehemu nyingi zilizopangwa zimepangwa na wakoloni ni chache sana ambazo zimepangiliwa na wanafuata kweli urban planning

Kupanga miji sio tu nyumba kuwa kwenye mpangilio mfano leo hii masaki pamepangiliwa ila cha ajabu baa zinafunguliwa na night-club katika ya makazi ya watu sio sawa, nenda coco Beach ule ni uchafu uko pale

Dhana ya mipango miji ni pana sana bahati mbaya wewe hata huijui kwa mapana yake unadhani ni nyumba kuwa kwenye mpangilio
Ujinga ni tusi?
 
we huelewi wapi? Nmeuliza kama kweny master plan inaonyesha hii ni sehem ya bar na ikapiga makelele usiku(case ya night club za masaki), je hilo swala linakua la mipango miji au NEMC
Ndio ni mipango miji haifuatwi huwezi enda nchi inayofuata miji alafu ukajiamulia tu kujenga bar au night sehemu unayojisikia wewe sio swala la nemc ni swala la watu kutokufuata mipango miji
 
Back
Top Bottom