Nadhani labda chama pendwa wametumia mbinu za kiroho za kufukia mbegu zote ardhini ili zije kuvunwa mwaka wa kafara na maangamizi mwaka ule ambao haugawanyiki kwa mbili.
Acha kujitoa ufahamu wewe,hapa naongelea matusi aliyomtukana Faiza,je sheria za JF zinamruhusu yeye kumtukana FaizaFoxy ? achana na hilo neno Striker kwanza,jikite kwenye issue ya huyo jamaa yako kumtukana Faiza na kumdhalilisha kiasi hicho.