Strike back

Strike back

jlm

Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
29
Reaction score
18
Ni Series nzuri kuangalia hasa wanaopenda mambo ya u-spy, intelligence agencies na kupigana.
 
Season tu mwishoni inaboa pale mhusika mkuu anapouawa,ila hawakukosea pia kum-replace na Michael,Michael yupo radhi ale mzigo hata kama maisha yake yapo risky,lol!
 
Vp kuhusu sex scenes isije ikawa kama the game of thrones ukashinda na remote mkononi.
 
Sex scenes lazima uwe na remote mkononi maana kuna jamaa humo kila episode lazima ale mzigo,ila kwa sex scenes the game of thrones na weed wamezidi,mpaka inaboa kuangalia na watu
 
jamaa anaitwa DAMIAN SCOT,kafungwa pingu lakin bado analarua kidosho hahahaaa
 
Kuna mtu anaitwa damian scott ni kwere kila akipata nafasi anatafuna mtu
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Kuna mtu anaitwa damian scott ni kwere kila akipata nafasi anatafuna mtu
Noma sana mkuu.....halafu anafanana mno na yule dogo wake Phin......wote play boys tu
 
yeah.. hii ni moja ya picha kali wanajua wanachofanya
 
Sex scenes lazima uwe na remote mkononi maana kuna jamaa humo kila episode lazima ale mzigo,ila kwa sex scenes the game of thrones na weed wamezidi,mpaka inaboa kuangalia na watu

Season tu mwishoni inaboa pale mhusika mkuu anapouawa,ila hawakukosea pia kum-replace na Michael,Michael yupo radhi ale mzigo hata kama maisha yake yapo risky,lol!
...Damian Scot
 
Sergeant Damian scot
Sergeant Michael stonebrigde
Major John Sinclair
Major Rachel
Sergeant braxton

Hii ndio SECTION 20
 
Back
Top Bottom