Strictly kwa wazamani tu

KIKOSI CHA PAZI BASKETBALL TEAM MIAKA YA 1980 -
 

Kwa hiyo sasa nchi yetu ni ya kifalme,mbona majina ya hao ndugu wa zamani bado yanatamba, mfano Kallaghe ni Balozi wetu Uingereza, Mwambungu ni mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Rugarabamu sijui alipewa wilaya ya pande zipi du haya sasa na wasasa wanaanza kurithishana kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…