Stress za Muziki na Gossipel za Nandy fursa kwa Zuchu

Ni mvuta bangi Tu kama wewe anayeweza tetea ujinga wa kuchanganya bongo fleva na gospel
Bangi haina shida ila.likichwa lako ndio limejaa tope
Usiisingizie bangi
Kwani kuna sheria inasema kwamba marufuku muimba bongo flavour kuimba gospel?
 
Kiukweli mimi namuheshimu sana mtu ambaye ameamua kusimama mbele ya watu na kutumia kipaji/ talanta aliyopewa na m/Mungu kujipatia pesa.

No matter show slowly the guy is advancing, never stand a foot to speak stupid things on them 😎
 
Hivi nyie dot-com hizi ko ko ko ko mnazoandika maana yake nini?
 
Unapojaribu Kufanya ulinganifu kwa Kipi Bora kati ya Sukari na Chumvi, jaribu pia Kutizama Uhitaji wa kila kimoja kwa wakati wake.
Usimchukie mwenye mafanikio, haisadii kuwa Juu yake, I think Zuchu and Nandy dont need your Advice or facts unless you need some prayers, acha kila mmoja Atafute ugali wake kwa namna yake.
 
Hizo nyimbo za dini mnazosema nandy anaimba ni nyimbo zipi mbona mm sijasikia
 
Uzi wa kitambo ila bado una make sense....mke wa william amepanic sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…