Stress remover

duh ni stress remover au accelerator
 
aiseee ukimfanyia hivyo wale jamaa wa tarime wallah hawakuachii roho
 
aiseee ukimfanyia hivyo wale jamaa wa tarime wallah hawakuachii roho

Last wiki kuna kisa kilitokea huko wanandoa waligombana shambani baba akamfyeka mama mkono wa kushoto na panga ukakatika kabisa mama naye hakukubali naye akamfyeka baba mkono wa kulia ukakatika wote sasa wanauguza vigutu nchini Kenya wametoroshwa na wanandugu kukwepa mkono wa sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…