Stress ni nini?

Yako mengi.. Stress ni mental n behaviour response kutoka kwenye vitu vya nje. (Nashindwa weka kwa kiswahili vizuri)
Stress husababishwa na..
  • Kuumwa
  • Vifo na kufa
  • Migogoro ya familia
  • Ubovu
  • Umaskini
  • Kutokutimiza malengo
  • Kunyanyaswa
  • Yapo mengi sana yanayosababisha stress...Yamewekwa katika makundi makundi nikipata muda nita update hii Comment
Usichanganye Stress na Emotions ni vitu viwili tofauti japo vinashabihiana na kutegemeana.. Madhara makuu ya Stress ni Depression inayoweza kukuletea kifo au vifo vya wengine
 
Makini Sana hii
 
Ndy kitu gani hii, me sijui kama nishawahi ukumbwa na stress eti
 
Ndy kitu gani hii, me sijui kama nishawahi ukumbwa na stress eti
Umeshawahi kukumbwa, stress zipo kwenye makundi tofauti
Positive stress


Negative stress

Hapo kwenye positive ni zile zinakufanya wewe uwe motivated kufanya kitu fulani ili ufikikie mafanikio

Ila
Negative stress
Ndo hizo mtu unakuwa nazo zinapelekea uwe na depression, na Muda mwingine mpaka kufa



Kwahiyo usiseme hujawahi kuwa na stress, hata Ile kujiuliza stress ni nini nayo ni stress pia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Stress ni depression?! Kweli?!
 
Umechanganya Emotions na Stress
 
Poa
Nimekuelewa ndg, but nadhani mostly tunajua stress ni kwenye negative thoughts tu kama kuvunjika kwa uhusiano, kukosa kazi na hata kuwa na maisha magumu ndy utasikia nina stress lakini Kumbe hata mambo mazuri tunayowaza ni stress pia, Asante kwa somo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…