Stress free zone

joramjason

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
425
Reaction score
132
Hv unaweza kuta humu jf wanaoongoza kwa sredi za vituko na majibu ya hovyo hapa JF ni watu maarufu or viongozi wakubwa serikalini or mashirika ya dini or NGO's wanarelease stress. Kwa mfano Lizzy = Anna Makinda, Ritz = Wassira, Kingkong = Pinda ongeza wengine unaowafikiria
 
reason. nimeshndwa kumention member. mods je kuna mabadiliko?
 
Wala hujakosea mie huwa nawahisi hawa mashemeji zangu ni BAGAH -- John komba Nicas Mtei--- Magufuli Erickb52----Olesendeka

hahahaaaa... shem Cantalisia mimi ni yule anaesema niwalambe nisiwalambeeeeeee!...anaitweje tena?shem wangu wewe hapa TZ sijaona atakayekua kama ww...nahisi uko kama Bi. Hillary Clinton...walahiii...
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaa... shem Cantalisia mimi ni yule anaesema niwalambe nisiwalambeeeeeee!...anaitweje tena?shem wangu wewe hapa TZ sijaona atakayekua kama ww...nahisi uko kama Bi. Hillary Clinton...walahiii...
Hahahah hahha hahha,
Shem BAGAH yani umenifananisha na waziri wa Obama!!!
Kumbe niko matawi ivo!!!
Asante shem!

Ila wewe na nimekupatia,uwe unatutupia mistari basi ili matukio yakija tuwe tushakariri ni kuimba tu lol!
 
Last edited by a moderator:
Hahahah hahha hahha,
Shem BAGAH yani umenifananisha na waziri wa Obama!!!
Kumbe niko matawi ivo!!!
Asante shem!

Ila wewe na nimekupatia,uwe unatutupia mistari basi ili matukio yakija tuwe tushakariri ni kuimba tu lol!

fulu kinyulaa...hujajuaga tu!?nakuvutia picha!nikirudi bongo ww ni Migirooooo!umetisha!

ninatoa kawimbo kangu kwa wajili ya kale kachicken-spring kalioko jela!unakajua shem?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…