Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Shunie wewe mapupu unakula mie sipendi yanavyodanadana mdomoni yaan kwa kifupi hayatulii yakatafunwa vizuri
Binafsi sipendi kitu cha kunisumbua akili yangu.




nayapenda Ney kuna siku nilienda uswahilini huko nikakuta yanauzwa 500 acha nikule ya buku na chapati jamaan

Ameen dada Mungu akusaidie