Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Mwenzake anaangalia katuni hapa ..Jamaani!!!!!
Huyu mtoto ni vipi lakinii, mwenzake yuko wapi
Katulia Tuli..
Mwenzake anaangalia katuni hapa ..Jamaani!!!!!
Huyu mtoto ni vipi lakinii, mwenzake yuko wapi
Sawa babaa...Mwenzake anaangalia katuni hapa ..
Katulia Tuli..
Kumbe ni ka Ben 10Nimekuja shunie japo kwa kuchelewa, kichwa kichafu ana miaka 13. Sasa msimsogezee miaka mbele jamani
Ni poa dada akeeHuku veepe
Karibu jamanNa mimi je ?

Bro ?Karibu jaman![]()
Avatar hii nayo shida
Kaka akee polee mnoo na Mungu azidi kumponya mtoto na pole na wewe huko ulipo jitahidi uwe sawa jamanJamani leo kisaikolojia sipo sawa,mwanangu kaungua na moto kalazwa hospital ya rufaa mbeya.Nipo mbali na familia kikazi,mpaka kazi ni leo nimeshindwa kuingia
Nawaza tu kungekuwa labda kuna vizawadi au kupewa mihela sababu ya malikes kuna watu humu wasingekuwa hata wanakula kisa kushinda jfKisa likes
Na sasa hivi kwa mbali unajua ni nani MwifwaHapo sawa, hata nikikuona kwa mbali najua ni Shunie![]()


Naitoa mwenyewe kuna mda najisahau yaan nahisi labda nachat na baba d ujueAvatar hii nayo shida
Si umesema na wewe nikukaribishe auBro ?
Asante ujue nilijua bro kaniovertakeSi umesema na wewe nikukaribishe au
Naitoa mwenyewe kuna mda najisahau yaan nahisi labda nachat na baba d ujue

Halafu unanichanganya na hiyo avatarNi poa dada akee
HahaNawaza tu kungekuwa labda kuna vizawadi au kupewa mihela sababu ya malikes kuna watu humu wasingekuwa hata wanakula kisa kushinda jf
Naitoa jamaaanHalafu unanichanganya na hiyo avatar
Huo ndio ukweli ujue watu sijui kama wanalala humu jamaan khaaa na usikute mijitu ya hivyo ni vibabu gagula na mvi zao basi tu avatar fake zinaficha mengiHaha
Sipendi uchochezi ujue