Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,563
Mimi sio haya banaWe haya tuu
Mimi sio haya banaWe haya tuu
Yaani labdaa nipumzike wiki nzima ndo nitakuwa poa na kitu ambacho hakiwezekaniMmmmhhh
Tangu jana, kulikoni?
SawaSawa nimeacha
Pamoja mkuuAhsante T wa Sakayo
MmmmhMimi sio haya bana
Yaani labdaa nipumzike wiki nzima ndo nitakuwa poa na kitu ambacho hakiwezekani
Naongea na NaveenUnaongea na simu au...
Karibu kijiweniPamoja mkuu
Sawa kabisaMmmmh
Basi Sawa
SawaaaaPole jamani.
Usijali utakuwa poa tu soon
OohNaongea na Naveen
WamelalaSawa kabisa
Wapi akina cuzoo?
Waamshe banaWamelala
Hivi anataka kwenda kuchezea maji mapema yote hii jamanianasema hataki kwenda kuogelea na wewe tena..
Waache walinde ndoaWaamshe bana
Kama hivi nimemkuta jikoni ! Ujue tuu kamwaga maji ndani.Hivi anataka kwenda kuchezea maji mapema yote hii jamani

SawaAhaaa
Hapo sawa.
Baadae Sakayo
Jamaani!!!!!Kama hivi nimemkuta jikoni ! Ujue tuu kamwaga maji ndani.
Zulia limelowa lote..![]()