Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Huu.uzi nautabiria utatoboa kama ushirikiano utakuwa mkubwa
Uzi wa kupeana like utadeadishwa
asante mkuu karibu sana
Huu.uzi nautabiria utatoboa kama ushirikiano utakuwa mkubwa
Uzi wa kupeana like utadeadishwa
asante mkuu karibu sanaWa like hauwezi kudead kwa sababu wanachama wa humu ndio hao hao wa kule kwa likesHuu.uzi nautabiria utatoboa kama ushirikiano utakuwa mkubwa
Uzi wa kupeana like utadeadishwa
Halafu hiyo avatar inanichanganya yaani najihisi tunapiga umbea na lee bhana![]()





nitaitoa woiiii
Ulimchosha sana eenhNamuona anajikongoja ila hali yake si nzuri anausingizi makinikia.
Bora umeliona hilo, yaani mimi mwenyewe nikiiona hadi nashtuka kwanzaHalafu hiyo avatar inanichanganya yaani najihisi tunapiga umbea na lee bhana![]()
Asante kwa kunisaidia kumtajia umri wangu.Uuuwiiii
Hivi unajua ni kijana mdogo huyo?tena ni under15![]()
Hahaha mzee wa liver sijamwona namwona [HASHTAG]#kichwakichafu[/HASHTAG]Wa like hauwezi kudead kwa sababu wanachama wa humu ndio hao hao wa kule kwa likes
Bora umeliona hilo, yaani mimi mwenyewe nikiiona hadi nashtuka kwanza







naitoa jamanHalafu yuko wapi huyu wifi yangu?


Mimi, kichwa kichafu, carba tuko universal ila mzee wa liver na wengine ndio wako kule tuHahaha mzee wa liver sijamwona namwona [HASHTAG]#kichwakichafu[/HASHTAG]
Sikumbuki nakumbuka pamekucha.Ulimchosha sana eenh
Sawanaitoa jaman
Hata mimi vimacho vya avatar yangu vinasaidia kuliona hilo.Bora umeliona hilo, yaani mimi mwenyewe nikiiona hadi nashtuka kwanza
Leo geti limefunguliwa mapema unaitwa kuleSikumbuki nakumbuka pamekucha.

