carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,617
Bado nazurura kidogoPole sana we dogo lala ukue huko.
Bado nazurura kidogoPole sana we dogo lala ukue huko.
Kwanza kwanini akuamkie??Shikamoo peaneni na carba naogopa kunyimwa baadhi ya vitu


Habari ya Lee ni nzuri sana habari ya Cole jeMarhaba mama lee
Habari ya lee


NimekujaBasi niitie bae wako carbasijui nayo utacheka
HahahaNdio hapoo jaman watu hawalali kule kulike na kupost tu
Nilikuwa nafurahi maana alikuja ila amechoka.Basi niitie bae wako carbasijui nayo utacheka
Hivi una niniii lakiniii natamani nikuchapeMmmmh
Nilikumiss tuNimekuja
Sijui katekwa na nissanHabari ya Lee ni nzuri sana habari ya Cole je![]()



Vipo vingi sema huwa ni muda wake wa kuviitaji.Mm sasa nitakupa niniiiii kwa mfano we endelea na carba tu
Nashukuru mamieNilikumiss tu
Mwifwa
Dada ujue kule kwa kina carba hawalali kabisa ujueHahaha
Unacheka eeeh
Me mzima sana mamy
Me mzima sijui wewe