Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Asanteh, Ubarikiwe sana mamamtumishi. Ulale salama.
jaman Ney wangu na kwako pia
Asanteh, Ubarikiwe sana mamamtumishi. Ulale salama.
jaman Ney wangu na kwako pia
Love you tooNimewamiss sana ndugu zangu wa ukweli jaman nawapenda mimi![]()
AmenZaburi 121
1 Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi?
2 Msaada wangu u katika BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi.
3 Asiuache mguu wako usogezwe; Asisinzie akulindaye;
4 Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye aliye mlinzi wa Israeli.
MUWE NA USIKU MWEMA NA MLINDWE NA DAMU YAKE YESU KRISTONAWAPENDA MIMI
Hahaaaa. Team naniliu.
Unamtafutia huku Stress Free Zone duuh.Natafta wa kuyajenga
Hata hapa watakuja ww subiriUnamtafutia huku Stress Free Zone duuh.
Wana majukwaa yao hao mkuu.
Hahaaaa. Sawa mkuu hakuna shida.Hata hapa watakuja ww subiri
Poa poa ankofureshi ankoli
Mzee wa kunyapia nyapiaMornie
Natafta wa kuyajenga
TehUnamtafutia huku Stress Free Zone duuh.
Wana majukwaa yao hao mkuu.
Love you too, kwa nini ufichwe hivyoSakayo wa kwangu mimi tu![]()
Dada acha tu si unaona anko magu anavyobana jamaanLove you too, kwa nini ufichwe hivyo
Sio vizuri hivyo ujueDada acha tu si unaona anko magu anavyobana jamaan
carba mzima??Mzee wa kunyapia nyapia