Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Inji ipi mkuuSakayo upo inji hii kweli?
Inji ipi mkuuSakayo upo inji hii kweli?
Zaidi ya unavyojua najuaNiko poa, si unajua tena
Ya chit-chatInji ipi mkuu
SawaZaidi ya unavyojua najua
Nipo mkuuYa chit-chat
carbamazepineKichwa kichafu leo hujatoa hela ya matumizi
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hunter napita tunanyapia nyapia naona siku hizi umemganda carba
Punguza hofu dogo.Yaani wewe ndo sikusomi kabisaaa,siku hizi hata sikuelewi yani![]()
Zaburi 121 
NAWAPENDA MIMI
Hahaha aisee kumbeHunter napita tu
Tunakupenda pia mpenziNimewamiss sana ndugu zangu wa ukweli jaman nawapenda mimi![]()
Asanteh, Ubarikiwe sana mamamtumishi. Ulale salama.Zaburi 121
1 Nitayainua macho yangu niitazame milima, Msaada wangu utatoka wapi?
2 Msaada wangu u katika BWANA, Aliyezifanya mbingu na nchi.
3 Asiuache mguu wako usogezwe; Asisinzie akulindaye;
4 Naam, hatasinzia wala hatalala usingizi, Yeye aliye mlinzi wa Israeli.
MUWE NA USIKU MWEMA NA MLINDWE NA DAMU YAKE YESU KRISTONAWAPENDA MIMI