Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,159
- 72,199
Mmemkatia au?Zote zinazoendeshwa na DJ Sepetu
Mmemkatia au?Zote zinazoendeshwa na DJ Sepetu
Anko habari!Mmemkatia au?
Mtembezi hula miguu yake.Yaani wewe kwahiyo ulikua unahangaika tu huko![]()
Kipenzi unitakii mema hapo kwa mchawi tena.Twende tukaioshe kwa mshana,siwezi kukuacha utaabike hivi![]()
Jirani unajua nimekuhamu sana pmAhahahaaaaaa
Nimekupeza mnoKote hayupo,sijui kawa dereva wa nissan
Cc:Kichwa Kichafu
Mtembezi hula miguu yake.
Naweza kupata nami kamrembo



kwahiyo umekula miguu yako mtembezi wewe?Nisikutakie mema weye?kweliKipenzi unitakii mema hapo kwa mchawi tena.


Nimeambulia patupu miguu yang bado ipo.kwahiyo umekula miguu yako mtembezi wewe?
Uache kuzururaNimeambulia patupu miguu yang bado ipo.
Ndio maana nakuhamu kila dk.Nilikutafuta leo![]()
huwa najikuta tu nimeingia pm ya warembo sijui tatizo na mizururo inaanza.Uache kuzurura
Hujambo lakin?Ndio maana nakuhamu kila dk.
huwa najikuta tu nimeingia pm ya warembo sijui tatizo na mizururo inaanza.


yaani wewe nakaribia kukugawa
fresh tuuuuAnko habari!
Kipenzi unitakii mema hapo kwa mchawi tena.
Hujambo lakin?
Ndio maana nakuhamu kila dk.
KWELI PENZI KIKOHOZI..Nisikutakie mema weye?kweli![]()
nyie zugeni tu..najua kila kituYaani jose
Hata tusisalimiane jamani??