carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,569
- 285,617
Tutasema maisha magumu yametukomazaUmri mdogo ila sura za zamani...
Tutasema maisha magumu yametukomazaUmri mdogo ila sura za zamani...
Leo anahoji mwanaumeUsiniambie anahoji wanaume![]()
OohUmepigwa kufuli na Mods
Miaka 6Utoto raha sana ukishiba tu huna wazo lingine linalokuumiza kichwa! Ndio maana mwakani nitaanza kuwa na miaka 6 kwa raha zangu.



hongeraHa haaa haaa ina maana hataki Antonio amuwish happybirthday zamaradi?Kalitoa leo kwenye post ya Nugaz alipomuwish zamaradi Happy Birthday
Hata hichi kijiwe tunaweza kukisimamishamama wa kusimamisha umriiiii
Mchomvu anaingilia ugomvi usiomuhusu?
Nimeshafika dada yangu japo nimechelewaHalafu nimemsahau ujue.
Wakiona inazidi kupoa waichemshe![]()
![]()
![]()
Huo ni ujinga,inamana zamaradi angekuwa yeye ndiye aliyerekodiwa wangemnunia bosi wao?Hapo sasa anataka wafanyakazi wote wa Clouds wasimuwish zamaradi HB
Upo bhanaOoh
Mie nimekuta notification ila ulikuwa umefutwa
Karibu mdogo wanguNimeshafika dada yangu japo nimechelewa
Nyota nyota tatizoTatizo ulichelewa
Twende tukaioshe kwa mshana,siwezi kukuacha utaabike hiviNyota nyota tatizo

Nadhani tungekaribishana vizuri PM.
Aaaah wapi....Tutasema maisha magumu yametukomaza