Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Dada nimecrop hapo ujue kitu cha M hivi young kanifundisha ukweli uchoyo jaman
aisee mungu anakuona ujue.Dada nimecrop hapo ujue kitu cha M hivi young kanifundisha ukweli uchoyo jaman
aisee mungu anakuona ujue.Huyu bibi niko radhi kuuza ile nyumba yetu ya urithi lakini sio kumuacha.Kiukweli unafaidi. Uzuri wa vibibi kama hivi, vinakupa vyote, ili usiondoke!
PSakayo sio vizuri keki ungeleta ya the whole family halafu shunie ungempa kisu atukatie najua angempendelea Ben 10 lkn na ss tungeonja kidogo
Wewe! Wewe! Wewe!Huyu bibi niko radhi kuuza ile nyumba yetu ya urithi lakini sio kumuacha.
Sasa huko pm nitauonaje,acha uben ten bhana
mambo ya chumbani si unajua tena shemejiHebu ukwende hukoo![]()
mambo ya chumbani si unajua tena shemeji
Hizo buti sasa duh
Ila Ben 10 anaonekana ana mapenzi ya dhati bhanaHizo buti sasa duh
Mfyuuuuu zakoNa mlivopendezana!
Ahahhahha yaan sakayo wewe ye wa kwanza niniiSasa huko pm nitauonaje,acha uben ten bhana
Na hao tena ni shunie pia na bae wake
Asanteeee babeHuyu bibi niko radhi kuuza ile nyumba yetu ya urithi lakini sio kumuacha.


ndio mana nakupenda
P
Mdogo wangu kama kuolewa basi hapo ni changamoto... Kawa mchoyo kupita maelezo








Una ninii lakini slimWewe! Wewe! Wewe!
Utawatesa wadogo zako!
Hiki ndiyo nini
Kwahiyo mm ndio sina mapenzi ya dhati eenhIla Ben 10 anaonekana ana mapenzi ya dhati bhana
Atasema me na weweHiki ndiyo nini