Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,503
- 57,043
Mzima wewe.Naomba keki Mimi
Mzima wewe.Naomba keki Mimi
MzimaMzima wewe.
KhaaaaShikamoo dada nimempa young akutumie![]()
![]()
Hahaha usitoe siri basi ndiyo naanda hapa.Mzima
Hivi hujamfungulia mkeo Uzi????
Ujue niko na wasiwasi na wewe??
He he kwenye mapenzi huwezi ogopaUnaweza ukaogopa kugusana nacho maana ni cheusi mangala kinoma![]()
![]()
![]()
![]()
Mzima
Hivi hujamfungulia mkeo Uzi????
Ujue niko na wasiwasi na wewe??




wasi wasi upi sasa
Dada nimecrop hapo ujue kitu cha M hivi young kanifundisha ukweli uchoyo jamanKhaaaa
Hiyo crop veepe!!! Ujue Shunie Young b kakufunza uchoyo.... Aki hukuwa hivyo kabisaa
Unaandaa nini Mimi nimetoa toka saa tisa alfajiri....Hahaha usitoe siri basi ndiyo naanda hapa.
Anamuogopa naniwasi wasi upi sasa
HahahaDada nimecrop hapo ujue kitu cha M hivi young kanifundisha ukweli uchoyo jaman
Mimi ndiye wa kwanza muulize mwenyewe atakwambiaUnaandaa nini Mimi nimetoa toka saa tisa alfajiri....
Naomba mdogo wangu umuache tuu
Kiukweli unafaidi. Uzuri wa vibibi kama hivi, vinakupa vyote, ili usiondoke!Hana lolote wivu tu unamsumbua
MmhSakayo sio vizuri keki ungeleta ya the whole family halafu shunie ungempa kisu atukatie najua angempendelea Ben 10 lkn na ss tungeonja kidogo
Unaandaa nini Mimi nimetoa toka saa tisa alfajiri....
Naomba mdogo wangu umuache tuu






Na mlivopendezana!yote hii ni slim jaman
Sasa huko pm nitauonaje,acha uben ten bhanaMimi ndiye wa kwanza muulize mwenyewe atakwambia