Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Muache huyo atachubua ulimi bure na ubuyuAcha woga mbona vidume wako hapa
Muache huyo atachubua ulimi bure na ubuyuAcha woga mbona vidume wako hapa
Mihangaiko lazima mkuu,sitaki watoto wangu wakaangalie TV kwa jirani wakati baba nipo.Salama tatizo una mambo mengi kama chumvi![]()
![]()
![]()
Kwani kakwambia na yeye anataka kuzeekaMpaka tuizoee huyo ujue tulishaizoea ile halaf mbona umeweka ya mtoto



haaaaaa haaaaa haaaaa kwa hiyo nirudishe ile ya kikauzu ama?Hii avatar mpya tutakusahau ukija kule bhana![]()
Mihangaiko lazima mkuu,sitaki watoto wangu wakaangalie TV kwa jirani wakati baba nipo.

Ujue mtu anakuvutia pic tokana na avatar yako ujueKwani kakwambia na yeye anataka kuzeeka
Uzee marufuku
Tafuta nyingine nzurinzurihaaaaaa haaaaa haaaaa kwa hiyo nirudishe ile ya kikauzu ama?
Mbona avatar hazina uhalisia sasa?Ujue mtu anakuvutia pic tokana na avatar yako ujue
Acha roho mbaya mwanamkeSitakiiiiii