Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,049
Ahahahahahhaaa haaa haaa karibia anatukana akiongeza herufi o mbele
Barikiwa barikiwa mamaMama mchungaji
naweza kuwawekea maombi mtaishia kunicheka mshindwe aisee
dah nikiweka yangu naogopa kutekwa na watu wasiojulikana.Mpaka tuizoee huyo ujue tulishaizoea ile halaf mbona umeweka ya mtoto
dah mkuu ile avatar yangu inawatisha mpaka mods, ngoja niweke hii mpya angalau name nifaidi kama wenzangu







Ahahahhhdah nikiweka yangu naogopa kutekwa na watu wasiojulikana.
Hata mimi sikuwezi, sio kwa kubuni kijiwe cha soga kiasi hichiHahaaaaaa sikuwezi