Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,045
Mimi nalala babe uwe na usiku mwemaNitamdodosa tu lazima kuna kitu
Mimi nalala babe uwe na usiku mwemaNitamdodosa tu lazima kuna kitu
Mimi nalala babe uwe na usiku mwema


na kwako babe na me nalala piaUsilale kama huna usingizina kwako babe na me nalala pia
Najua ShemSalama kabisa shem, mimi Christmaswala siiwazii sana..nasubiri Jumatano ifike tu si unajua tena siku hiyo kuna nini.
Nakutafuta sana ujueMpe kubwa kuliko
MmmhHasameheki huyo amenikosea sana leo.
KhaaaTena babe usimsamehe kabisa
MmmhLa chini
NjoooooMimi nalala babe uwe na usiku mwema
Hivi mbona siku hizi upo kama young unapotea potea tuNjooooo
Naona likes zako huku
Nini tena shemeji umeniamsha usingiziniYoung ukujeeee
Khaaaa, nini wewe mtoto unamuuza mdogo wangu
Aki mtaniua kwa presha
HahahahahaHivi mbona siku hizi upo kama young unapotea potea tu
AhahahahhhNini tena shemeji umeniamsha usingizini
Sio mimi young huyoAki mtaniua kwa presha
Ulikuwa hujalalaNini tena shemeji umeniamsha usingizini