Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
MwenyeweAhahahhh mfyuuu
MwenyeweAhahahhh mfyuuu
Hamna nimefurahi tuninii sasa
Salama kabisa shem, mimi ChristmasNzuri Shem
Habari za maandalizi ya siku kuu
wala siiwazii sana..nasubiri Jumatano ifike tu si unajua tena siku hiyo kuna nini.Ni kweli eeeAhahahhh kwahiyo babe umecheka kuitwa mtoto unayebemendwa

Uko poa babe,hope siku yako imeenda vizuri.Salama young dar es salaam wangu mimi
Mimi wala sijapotea mkuu, nimejaa tele.afu mkuu umepotea, nawahesabu watu ote mnaopotea kadri sikukuu inavokaribia!
Mpe kubwa kulikoMwenyewe
Hasameheki huyo amenikosea sana leo.Bae wa Shunie naomba umsamehe Jirani yangu...
Tena babe usimsamehe kabisaHasameheki huyo amenikosea sana leo.
Bichwa lako tuna kesi na weweMpe kubwa kuliko
Imeenda vizuri mnoo babe sijui kwa upande wako leo vipi usingizi upo au unakesha kama janaUko poa babe,hope siku yako imeenda vizuri.
Ahahhah mule mule hajakoseaNi kweli eee![]()
![]()
Siku muhimu na safari yetuSalama kabisa shem, mimi Christmaswala siiwazii sana..nasubiri Jumatano ifike tu si unajua tena siku hiyo kuna nini.
Yani hapa tayari nimeanza kusinziaImeenda vizuri mnoo babe sijui kwa upande wako leo vipi usingizi upo au unakesha kama jana
muda si mrefu nalala.Aisee!!!Ahahhah mule mule hajakosea
Yani I can't wait.Siku muhimu na safari yetu
He he sipati picha kama namuona slim atakavyokuja kujibuYani I can't wait.