Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Huyo huyo kuna mkaka kamfungulia uzi mamdenyi nimemkuta hukoAisee, Mwifwa huyuhuyu![]()
![]()
Huyo huyo kuna mkaka kamfungulia uzi mamdenyi nimemkuta hukoAisee, Mwifwa huyuhuyu![]()
![]()
Babe jaman nimesahauSasa wewe unasahauje venue
Ahahahhh kupatwa kwa shunie nilivyokua na vita navyo viben10 siamini mie
vimekukosea niniYani shemeji yangu huyu nampenda ila basi tu hajuiBabe umeongea kwa upole
Mtu angesema kanikula au nimewalia nauli zao kwa sababu kuchat na watu wengine sio wazuri watakuzushia vya kukuzushia tuKwani huko Pm watu wanakulana
Aisee, kuna watu wanajua kweli kujitoa ufahamuHuyo huyo kuna mkaka kamfungulia uzi mamdenyi nimemkuta huko

Yaan sivipendi tu mimi Mungu anisamehe tu jamaan mana vinapenda kulelewa mwenyewe nataka kulelewa![]()
![]()
vimekukosea nini
Babe si tulisema SaadaniBabe jaman nimesahau
Na yeye anakupenda sana maksudi tu anakufanyiaYani shemeji yangu huyu nampenda ila basi tu hajui
KhaaaKweliiii
Babe kupenda avatar fake au comments teh tehAisee, kuna watu wanajua kweli kujitoa ufahamu![]()
![]()
HahahahahaBabe umeongea kwa upole
Mh, sasa usipokula nauli mtu akazusha mwenyewe shida iko wapi... Unajua binadamu lazima waseme tu.Mtu angesema kanikula au nimewalia nauli zao kwa sababu kuchat na watu wengine sio wazuri watakuzushia vya kukuzushia tu
MmmhMe nimekupm inagoma nini tena
Yaan sivipendi tu mimi Mungu anisamehe tu jamaan mana vinapenda kulelewa mwenyewe nataka kulelewa
aiseePoaMbona nimekuja sasa kimya
Nilisahau jamaan ya wapi sasa tutaendaBabe si tulisema Saadani
Hongera kwa kutuchagulia M/kiti mpya
NimemuonaNimekutana nae huko kwenye zi mmu anasema na yeye siku atamfungukia mdada na kumfungulia thread nimepita kimya tu