Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
Ndio mana nakupenda we mwanaume hivi kwa nini sijakujua mda sakayo kama nakuonaUsijifikirie wewe tu, fikiria na sisi unatuachaje sakayo, binafsi siafiki wazo lako.
Ndio mana nakupenda we mwanaume hivi kwa nini sijakujua mda sakayo kama nakuonaUsijifikirie wewe tu, fikiria na sisi unatuachaje sakayo, binafsi siafiki wazo lako.
Ni dar babeNikuje dar au lushoto hunie!!!!
EwaaaaaaMimi sijawahi kukosea mkuu,hata shunie pia analijua hilo.
Ahahahhh sijui ana mke huko mida hiyo ndio ya kulalaNdiwoooo
Lazima alale huo muda...
Ahahahhh sasa hivi sakayo ana mashaka ya uben 10Nimewabamba! kumbe mlikuwa mnanitetaee... kwahiyo sasa hivi sio mzee wa busara tena.
WoyoooooooooooBirthdayparty itafanyika Saadani,Pangani.
Usinifanyie hivyo.... Au wataka nilieNdio mana nakupenda we mwanaume hivi kwa nini sijakujua mda sakayo kama nakuona
HapanaNitarudi
Just trust me
My dearNi dar babe
Shemeji ananielewa taratibuBabe ebu endelea kumbembeleza shemeji yako
Saivi kaenda kulaAhahahhh sijui ana mke huko mida hiyo ndio ya kulala
Unaliaje me mwenyewe siafiki swala la kuleft usione nacheka cheka tu ukajua nafurahi hivi unaniachaje mie we ndio kila kitu kwanguUsinifanyie hivyo.... Au wataka nilie
AhahahhhhMy dear
Siku hizi hutaki kwenu
Sinaa mashaka nae, hamna Ben ten alala saa nneAhahahhh sasa hivi sakayo ana mashaka ya uben 10
Nakupenda mimi young dar es salaam wanguShemeji ananielewa taratibu
Ahahahhh Ben 10 lazima umkute kwa uzi wa usiku wa mananeSinaa mashaka nae, hamna Ben ten alala saa nne
Kweli mpenda Chongo huita kengezaNakupenda mimi young dar es salaam wangu