Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Mimi ni Ben 9 ndio bora zaidiBen 10 kwangu big nooo
Mimi ni Ben 9 ndio bora zaidiBen 10 kwangu big nooo
Kwahiyo me nimekuwa mpira wa danadana nikitoka huku naenda kule hapana jaman tafuta wengine![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kweli ng'ombe wa masikini hazai
Najua hunMimi siwezi kukushindwa shunie wangu.
Unafitina hadi unatoboa siri zetuUsiku raha sana,.. Yani mpaka namuonea huruma Mwifwa
Sasa si tunacompete active site jamaniKwahiyo me nimekuwa mpira wa danadana nikitoka huku naenda kule hapana jaman tafuta wengine
DuuuhhhhKwako hapana bora niwe mtawa tu
Huyo simjui banaWewe si ndio huyu naskia![]()
![]()
![]()
![]()
Sawa mkuuKwa mnaosumbuka kupata MIKOPO kwa haraka wasiliana nami ndani ya SAA 24 utakua ushapata maana Nina mikopo ukiamua hata kuoteshea minazi IPO...
Karibu kijiweni mkuuKwa mnaosumbuka kupata MIKOPO kwa haraka wasiliana nami ndani ya SAA 24 utakua ushapata maana Nina mikopo ukiamua hata kuoteshea minazi IPO...
Sasa unataka shunie tumuiteje sasaWe talk about men beauty![]()
![]()
Chukua mkopo brother,jamaa anadai anakopesha mpaka minaziKaribu kijiweni mkuu
Umejuaje kama yeye kasema![]()
huyo jamaa
ndio kasema sio mini
Nikihiitaji nitamfuta tu.Chukua mkopo brother,jamaa anadai anakopesha mpaka minazi